HabariMilele FmSwahili

Mkuu wa bodi ya mashirika yasiyo ya serikali Fazul Mohammed ajiuzulu

Mkuu wa bodi ya mashirika yasiyo ya serikali Fazul Mohammed amejiuzulu. Kwenye barua yake ya kujiuzulu Fazul amesema atahudumu hadi tarehe 31 Aprili. Alimwandikia barua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wanaosimamia mashirika yasiyo ya serikali tarehe 19 mweiz huu ingawa hajaweka wazi sababu zake kujiuzulu. Amehudumu kwa bodi hiyo kwa miaka mitatu. Fazul alishtumiwa mwaka jana kutokana na jinsi alivyohangaisha baadhi ya mashirika ya kiserikali baada ya uchaghuzi akituhumiwa kwa kuingiza siasa kwenye kazi yake.

Show More

Related Articles