HabariMilele FmSwahili

Watu 37 waliuwawa kati ya Septemba na Novemba mwaka jana wakati wa marudio ya uchaguzi wa urais

Watu 37 waliuwawa kati ya mwezi Septemba na Novemba mwaka jana wakati wa marudio ya uchaguzi wa urais. Haya ni kwa mujibu wa shirika la Human Rights Watch linalosema polisi walitekeleza mauaji ya watu 23 huku 14 wakiuwawa na wahuni. Kwenye taarifa iliotolewa leo Human Rights Watch inataka uchunguzi dhidi ya wahusika ili wakabiliwe kisheria.

Show More

Related Articles