HabariMilele FmSwahili

Kombe la michezo ya dunia lawasili nchini

Kombi la michezo ya dunia liko nchini. Kwa sasa kombe hilo lililotoka nchini Ethiopia na linalogharimu shilingi bilioni 1 liko katika ikulu ya rais ambako anatarajiwa kulipokea rasmi. Hii ni mara ya tatu kuwasilishwa nchini kombe hilo ambalo linalenga kupigia upato michezo ya dunia itakayochezwa baadaye mwezi juni huko russia. Kombe hilo liko nchini hadi kesho ambapo litaelekea mjini Maputo Msumbiji kwa hafla sawia.

Show More

Related Articles