HabariMilele FmSwahili

Mahakama ya Machakos kutoa uamuzi wa kesi ya kuhalalisha ukeketaji nchini

Mahakama ya Machakos inatarajiwa wakati wowote kutoa uamuzi kwa kesi ya kuhalalisha utamaduni wa ukeketaji nchini. Kesi hiyo iliwasilishwa na Dkt Tatu Kamau anayetaka sheria dhidi ya tamadumi hiyo kutajwa kuwa kinyume na katiba. Dkt Kamau pia ameitaka mahakama kutoa amri ya kuvunjilia mbali bodi ya kutoa hamasisho dhidi ya ukeketaji. Jaji David kimei atatoa uamuzi.

Show More

Related Articles