HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Waziri Mucheru afika mbele ya kamati ya bunge ya mawasiliano

Waziri wa mawasiliano na teknolojia Joe Mucheru amefika mbele ya kamati ya bunge kuhusu mawasiliano na teknolojia , kueleza ni kwa nini baadhi ya vituo vya televisheni vilifungwa baada ya kupeperusha matangazo wakati wa kuapishwa wa Raila Odinga.
Mucheru aliyonekana kujikanganya hata hivyo, amesema kuwa serikali ilifanya hivyo kwa sababu za kiusalama wa nchi.

Show More

Related Articles