HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Waziri Matiang’i kuzuru Mt Elgon wiki ijayo, watu 3 wauawa

Waziri wa usalama nchini Fred Matiangi amesisitiza kuwa serikali haitasaza yeyote anayelenga kuvuruga amani nchini.

Haya yanajiri baada ya maafisa wa polisi eneo la Mlima Elgon kuwauwa washukiwa wawili wanaodaiwa kutekeleza mauaji ya watu wasiopungua kumi katika maeneo mbalimbali,baada ya mashambulizi ya mara kwa mara.
Kama anavyotuarifu Joab Mwaura, waziri Matiang’i ametoa hakikisho kuwa juma lijalo ataelekea eneo la magharibi na haswa Mlima Elgon ili kubaini chanzo cha mauaji.

Show More

Related Articles