
Aliyekuwa mbunge wa Imenti ya kati Gedion Mwiti amefikishwa tena mahakamana na kushtakiwa upya kwa madai ya ubakaji, udhalilishaji na kudhulumu.Mbugne huyo amkana mashtaka hayo. Mwaka wa 2015 mbunge huyo alishtakwia kwa madai ya kumbaka mwanamke mmoja katika afisi yake.