HabariMilele FmSwahili

Mahakama yaidhinisha ushindi wa Mohammed Ali kama mbunge wa Nyali

Mahakama ya Mombasa imemuidhinisha Mohammed Ali kama mbunge wa Nyali. Jaji Lydia Achode anasema mlalamishi Daniel Abwao hakudhibitisha madai ya uchaguzi kukumbwa na hitlafu. Aidha amemwagiza Abwao kulipa gharama ya kesi shilingi milioni 7. Ali tayari amepongeza uamuzi wa mahakama.

Show More

Related Articles