HabariMilele FmSwahili

Mahakama yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa gavana Patrick Khaemba

Gavana wa Trans Nzoia Patrick Khaemba amepata afueni baada ya mahakama kuu ya Kitale kutupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wake. Jaji Anthony Murima anasema walalamishi Robinson Simiyu na alfha chore hawakudhibitisha madai uchaguzi ulikumbwa na hitilafu. Gavana Khaemba amepongeza uamuzi huo akiapa kuwatumikia wakazi wote bila upendeleo.

Show More

Related Articles