HabariMilele FmSwahili

Makaazi ya polisi katika kituo cha central jijini Nairobi yateketea

Makaazi ya polisi katika kituo cha Central hapa jijini Nairobi yanateketea. Maafisa walioathirika na mkasa huo ni wanaomiliki nyumba za mabati. hakuna ripoti za waliojeruhiwa. Chanzo cha mkasa huo aidha hakijabainika. Maafisa wa zima moto kutoka serikali ya kaunti ya Nairobi wanajitahidi kudhibiti moto huo.

Show More

Related Articles