HabariMilele FmSwahili

Wakili Allen Waiyaki ndiye rais mpya wa chama cha mawakili nchini LSK

Wakili Allen Waiyaki Gichuhi ndiye rais mpya wa chama cha mawakili nchini LSK. Matokeo ya awali ya uchaguzi wa LSK ulioandaliwa jana yamemweka kifua mbele waiyaki dhiddi ya mpinzani wake James Mwamu. Gichuhi ameapa kukiunganisha chama hicho kinachokumbwa na migawanyiko naye Hariet Chigai amechaguliwa naibu rais mpya wa chama hicho.

Show More

Related Articles