People Daily

Chama cha Mawakili Nchini LSK Cha Pata Rais Mpya

Wakili Allen Waiyaki Gichuhi ameshinda kura za urais wa chama. cha mawakili nchini LSK

Gichuhi alijipatia kura elfu 2,675 na kumshinda mpinzani wake Jamed Aggrey Mwamu ambaye alipata kura elfu 2,145 katika kura zilizopigwa hapo jana katika vituo 38.

Akiongea hapo jana katika mahakama ya Milimani baada ya kupiga kuram Gichuhi alieleza imani ya kushinda uchaguzi huo.

Show More

Related Articles