HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotambulika : Peter Nabulindo anawajengea nyumba za bei nafuu majirani wake Kakamega

Ni jambo la kawaida kuona nyumba zilizotengenezwa kwa matope au nyasi vijijini na zingine nzee kupindukia ,lakini jamaa mmoja kutoka kaunti ya Kakamega ameonelea bora kuwasaidia wanakijiji wasiojiweza kuondoa nyumba nzee za nyasi na kuwajengea nyumba nyingine zilizoezekwa mabati badala ya nyasi.

Kwenye makala ya Wasiotambulika, tunapata taarifa ya Peter Nabulindo kutoka Matungu, Kakamega ambaye ameamua kutumia pesa zake kuwajengea nyumba za bei nafuu majirani wake akilenga kuondoa nyumba zilizoezekwa kwa nyasi kijijini.

Show More

Related Articles