HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

NASA imewateua Aisha Jumwa na George Khaniri kuiwakilisha kwenye PSC

Hatimaye mrengo wa NASA umemtema mwakilishi wa kike katika kaunti ya Homabay Gladys Wanga kutoka tume ya huduma za bunge PSC na badala yake kumteua seneta wa Vihiga, George Khaniri.
Mbunge wa Borabu, Ben Momanyi pamoja na mwenzake wa Malindi wameteuliwa kuhudumu katika tume hiyo.
Haya yamejiri wakati ambapo chama cha ODM kinalenga kufanya kikao cha baraza kuu la chama hapo kesho.

Show More

Related Articles