HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mahakama ya Embu imetupilia mbali uchaguzi wa gavana Wambora

Mahakama ya Embu imetupilia mbali uchaguzi wa gavana wa Embu, Martin Wambora, baada ya kupata dosari kadhaa zikiwemo baadhi ya kura kutoka vituo fulani , kuwa nyingi kuliko zilizotangazwa.
Jaji William Musyoka alisema kuwa ijapokuwa mlalamishi Lenny Kivuti hakutaka uchaguzi huo ufutiliwe mbali , lakini mahakama ilikuwa na wajibu wa kuufutilia mbali kutokana na dosari nyingi uliokua nazo.
Frankline Macharia anasimulia kombora lililompata Wambora, ambaye kisiasa ameonekana kuwa na nyoyo tisa kama za paka .

Show More

Related Articles