HabariMilele FmSwahili

Mamia ya wachuuzi wanaohudumu jijini Nairobi wakamatwa

Mamia ya wachuuzi wanaohudumu jijini Nairobi wamekamatwa baada ya maafisa wa usalama na wale wa kaunti kuendesha msako wa kuwafurusha jijini. Msako huo pia umewanasa kwa wahudumu wa boda boda. Baadhi ya wachuzi ambao wamefikishwa katika mahakama ya kaunti hata hivyo wanataja hatua hiyo kama ujiukaji wa haki zao agizo la kuwakamata wachuuzi na wahudumu hao lililotlewa na kamishna wa kaunti hii Kang’ethe Thuku anayesema wachuuzi hao wamechangia utovu wa usalama

Show More

Related Articles