HabariPilipili FmPilipili FM News

Kesi Yakupinga Ushindi Wa Gavana Joho Kuamuliwa Leo.

Mahakama kuu mjini Mombasa adhuhuri hii inatarajiwa kutoa hukumu yake kuhusiana na kesi ya kupinga ushindi wa gavana wa Mombasa Hassan Joho.

Kesi hiyo iliwasilishwa na aliyekuwa seneta wa Mombasa Hassan Sarai ambaye aliwania ugavana wa Mombasa katika uchaguzi wa agosti nane.

Sarai aliwasilisha kesi hiyo akidai uchaguzi huo haukuwa huru na haki.

Awali Sarai alitangaza kuondoa kesi hiyo akidai kuwa jaji wa mahakama hiyo Lydia Achode alikuwa na upendeleo wakati wa kusikizwa kwake.

Show More

Related Articles