HabariMilele FmSwahili

Gullet : Shirika la msalaba mwekundu linahitaji takriban bilioni 1 kukabiliana na ukame nchini

Shirika la msalaba mwekundu linahitaji takriban shilingi bilioni 1 kukabliana na ukame unaoshuhudiwa nchini. Katibu Abass Gullet anasema fedha hizo zinahitajika kununua chakula cha msaada, kununua mifugo walio katika maeneo kame, usambaza maji kwa maeneo hayo miongoni mwa maswala mengine tata. Akizindua ombi rasmi la Redcross kusaka msaada, Gullet anasema msaada huo utawalenga wakenya milioni 3.4, Kaunti 6 za Garissa, Wajir, Isiolo, Tana River, Kajiado na Kilifi zikilengwa

Show More

Related Articles