HabariMilele FmSwahili

Mahakama yaidhinisha ushindi wa gavana wa kilifi Amason Kingi

Mahakama ya Malindi imeidhinisha ushindi wa gavana wa Kilifi Amason Jeffa Kingi. Jaji Weldon Korir anasema ushahidi uliowasilishwa na mlalamishi na mwanasiasa kazungu kambi ulikuwa dhaifu. Jaji Korir amemuagiza Kambi kugharamia kesi hiyo kwa kima cha shilingi milioni 4. Aidha Kambi pia atalazimika kuilipa IEBC shilingi milioni 2.3 na gavana Kingi shilingi milioni 1 nukta 7

Show More

Related Articles