HabariMilele FmSwahili

Serikali yataadharisha wakenya kujiepusha kuzuru maoneo kadhaa nchini Sudan Kusini

Serikali imewataadharisha wakenya wanaoishi au wanaonuia kuelekea Sudan Kusini kujiepusha kuzuru maeneo kunakoshuhudiwa mapigano yaliyodumu zaidi ya miezi sita. Katika taarifa wizara ya mabo ya kigeni imetaja maeneo ya Upper Nile yakiwemo “Bieh, Latjoor, Akobo, Jonglei, kuwa miongoni mwa hataeri zaidi. Katibu mteule wa wizara ya mambo ya kigeni amesema Kenya haitasalia kimya raia wake wakitaabika katika nchi za kigeni.

Show More

Related Articles