HabariMilele FmSwahili

KWS yaanza kuwaondoa ndovu katika hifadhi ya wanyama ya Solai

Maafisa wa shirika la KWS wameanza kuwaondoa ndovu katika hifadhi ya wanyama ya Solai mpakani mwa kaunti za Isiolo na Laikipia. Wanyama hao wanatarajiwa kupelekwa katika mbuga ya Tsavo. Hatua hiyo inalenga kukabili ongezeko la mzozo wa wanyama na binadamu

Show More

Related Articles