HabariMilele FmSwahili

Mwanamke aliyenaswa kwa kuiba pacha kutoka KNH kufikishwa mahakamani

Mwanamke aliyenaswa kwa kumuiba pacha kutoka hospitali ya Kenyatta anatarajwia kufikishwa mahakamani ya Milimani. Hii ni baada yake kukesha katika kituo cha polisi cha Muthangari ambako alikuwa akihojiwa. Mwanamke huyo alipatikana na mtoto huyo eneo la Congo 56 mtaani Kawangware hapa Nairobi. Atashtakwia kwamakosa ya wizi wa mtoto.

Show More

Related Articles