HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa : Alex Akong’o anajipa riziki kwa kupiga picha kwenye sherehe Kisii

Alianza kazi ya kupiga picha miaka ya 1993, wakati huo akifanya kazi hiyo pamoja na shangazi yake.
Yeye alikuwa anapiga picha wanafunzi, na pia vijijini wakati wa sherehe na kuziuza baadaye.

Akiwa baba wa watoto watatu, Alex Akong’o ana tajriba ya kupiga picha ya zaidi ya miaka ishirini.
Joab Mwaura na maelezo zaidi kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa.

Show More

Related Articles