HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wakazi Murang’a wahangaishwa na nyani walioasi misitu

Wakazi wa kaunti ya Muranga kwa ushirikiano na serikali ya kaunti hiyo wameanzisha operasheni ya kuwanasa nyani ambao wamekuwa kero katika maeneo tofauti.
Inadaiwa kuwa nyani hao wamekuwa wakivamia mashamba yao na kuharibu mazao na mimea.
Cha kusikitisha zaidi ni kuwa wanyama hawa wanaingia hata kwenye boma za watu na kuwahangaisha wanawake.

Show More

Related Articles