HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wizara ya elimu imeongeza muda wa kuwasajili wanafunzi kidijitali

Serikali imeongeza muda wa kuwasajili wanafunzi kwa kutumia mfumo wa kidijitali wa nemis hadi tarehe 31 Machi ili kuwapa wazazi muda wa kutayarisha vyeti vya kuzaliwa vya watoto wao vinavyohitajika kwa usajili huo.
Hata hivyo baadhi ya kina mama katika kaunti ya Kiambu wameonyesha wasiwasi kuhusu usajili huo wakidai wameshindwa kupata vyeti vya kuzaliwa vya watoto wao baada ya waume wao kuwanyima vitambulisho vyao.

Show More

Related Articles