HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Orengo na Wanjigi waliruhusiwa kusafiri leo hadi Zimbabwe baada ya kukesha uwanja wa ndege

Hatimaye baada ya kukosa kuruhusiwa kusafiri jana usiku,seneta wa Siaya James Orengo na mfanyibiashara Jimmy Wanjigi waliruhusiwa kuondoka nchini kuelekea mjini Harare nchini Zimbabwe baada ya kukabidhiwa hati zao za usafiri.
Wawili hao waliondoka saa saba na dakika arobaini leo mchana baada ya kukesha kwenye uwanja wa ndege wa JKIA ambapo maafisa wa uhamiaji waliwazuia kusafiri kuelekea nchini humo.

Show More

Related Articles