HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Marubani wawili walikuwa wakizuiliwa na waasi nchini Sudan Kusini

Marubani wawili waliokuwa wametekwa nyara na waasi nchini Sudan Kusini na kuteswa kwa zaidi ya mwezi mmoja baada ya ndege waliokuwa wakiendesha kutua kwa dharura nchini humo hatimaye wameachiliwa huru.
Wawili hao walizuiliwa na waasi hao walioghathabishwa na kifo cha raia mmoja wakati wa mkasa huo ambapo pia mifugo ilijeruhiwa na makazi yao kuharibiwa.
Waziri wa usalama wa taifa Monica Juma aliwapokea marubani hao ambao kwa sasa wanapokea matibabu katika hospitali ya Mater-Nairobi kutokana na udhaifu wao kiafya.

Show More

Related Articles