HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mtoto alipatikana mtaa wa Kawangware baada ya kuibwa KNH Jumapili

Mtoto aliyekuwa ameibwa katika hospitali ya Kenyatta amepatikana na mwanamke mshukiwa kutiwa mbaroni.
Prince Ouko, pacha aliyeibwa kutoka hospitali hiyo siku ya Jumapili alipatikana katika mtaa wa Kawangware jijini Nairobi.
Mtoto huyo alikuwa anapangiwa kusafirishwa na mshukiwa huyo hadi maeneo ya Kisii leo usiku.

Show More

Related Articles