HabariMilele FmSwahili

Marubani 2 waliokuwa wanazuiliwa na waasi Sudan Kusini wawasili nchini

Marubani wawili waliokuwa wanashikiliwa na waasi wa Sudan Kusini wamejumuika na familai zao baada ya kuwasili nchini alasiri ya leo .Kapteni Pius Frank Njoroge na msaidizi wa rubani Kennedy Shamalla walikuwa wanazuiliwa na waasi hao baada ya ndege wlaiokuwa wakiendesha kuanguka na kuharibu mali ya waasi hao sawa na kumuua mtu mmoja eneo la Akobo Januari mwaka huu. Waliachilwia baadaya serikali kulipa fidia ya shiligni milioni 11.

Show More

Related Articles