HabariMilele FmSwahili

Pacha moja aliyeibiwa kutoka hospitali ya Kenyatta apatikana

Pacha moja aliyeibiwa kutoka hospitali ya kenyatta amepatikana. Babake pacha huyo Job Ouko anasema mwanawe aliyeibiwa mwisho mwa juma amepatikana eneo la Congo 56 mtaani Kawangware. Mtoto huyo amepatikana katika nyumba ya mwanamke aliyemuiba kwa jina Edna. Kwa sasa mshukiwa huyo anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Muthangari.

Show More

Related Articles