HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Wakazi wajikakamua na kukuza vyakula Wajir licha ya kuwa wafugaji

Kwa muda mrefu wenyeji wa kaunti ya Wajir wamekuwa wakitegemea mifugo haswa ng’ombe mbuzi na ngamia kujikuza kiuchumi na kama kiashirio cha ujasiri.
Baadhi ya wenyeji hao aidha kwa kulenga kuboresha maisha yao, wanalenga kutumia ardhi pana ya kaunti hiyo kuzalisha vyakula na kuzika wimbo wa msaada wa chakula.
Caleb Ratemo kutoka Wajir anatuchorea picha ya hatua wanazopiga wanajamii hao ambao ni wafugaji tangu zamani.

Show More

Related Articles