HabariMilele FmSwahili

Rubani 2 wa Kenya waliokuwa wakizuiliwa Sudan kusini waachiliwa huru

Rubani 2 wa Kenya ambao wamekuwa wakizuiliwa huko Sudan Kusini wameachiliwa huru. Hii ni baada ya kulipwa kwa ridhaa ya shilingi milioni 11 zilizohitajika. Wanatarajiwa kuwasili nchini baadaye leo.

Show More

Related Articles