HabariMilele FmSwahili

Keriako Tobiko: Yeyote atakayehusika katika uharibifu wa mazingira atakabiliwa vikali

Waziri mpya wa mazingira Keriako Tobiko amepa kumkabili vikali mto yeyote atakahusika katika uharibifu wa mazingira. Tobiko amesema atabuni kamati maalum ya wadau mbali mbali kuchunguza swala la ukataji miti kinyume cha sheria katika misitu. Pia amezionya jamii zilizoingilia ardhi za misitu kuondoka mara moja. Waziri huyo amesema chini ya utawaa wake wizara ya mazingira itahakikisha Kenya inakabiliana na maswala yanayotishia kusababisha ukame na jangwa nchini.

Show More

Related Articles