BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Wakenya Mtadaoni Wamkashifu Bahati Kwa “Kumwanika” mtoto wake Katika Mitandao YA Kijamii

Takiban juma moja tangu mtoto wa mama pamoja na mpenzi wake Diana Marua kubarikiwa na mtoto wa kike Heaven Bahati,Wakenya wengi mitandaoni haswa wa jinsia ya kike badala ya kuwapongeza,  wameonyesha kughathabishwa na hatua ya Bahati “Kumwanika” mwanawe mchanga katika mitandao ya kijamii.

Kupitia mtandao wa Instagram wengi wamemshauri Diana Kumuonya Bahati dhidi ya hatua hii

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Show More

Related Articles