HabariSwahili

Haniya Sagar afungwa miaka 10 kwa kufanikisha ugaidi,Mombasa

Mjane wa shekhe aliyekumbwa na utata marehemu Aboud Rogo amehukimiwa kifungo cha miaka kumi na mahakama ya Mombasa.
Mahakama hiyo imempata Haniya Said Sagaar na hatia ya kuhusika katika shambulizi la mwaka 2016 katika kituo cha polisi cha Central kaunti ya Mombasa, ambapo wasichana watatu waliokuwa wamejihami walivamia kituo hicho cha polisi.

Show More

Related Articles