HabariSwahili

Makurutu 4,000 wa polisi wa utawala wakamilisha mafunzo

Zaidi ya makurutu elfu nne wa kitengo cha polisi wa utawala, hii leo wametamatisha mafunzo yao katika chuo cha mafunzo ya maafisa wa utawala eneo la Embakasi jijini Nairobi, tayari kutumwa katika maeneo tofauti kote nchini.
Hafla hiyo aidha iliyohudhuriwa na inspekta jenerali wa polisi Joseph Boinnet ilishuhudia makurutu hao wakidhihirisha umahiri wao kazini kama vile kulenga shabaha.

Show More

Related Articles