HabariMilele FmSwahili

Okiya Omtatah awasilisha kesi mahakamani kupinga uteuzi wa Kennedy Ogeto

Mwanaharakati Okiya Omtatah  amewasilisha kesi mahakamani kupinga uteuzi wa Kennedy Ogeto. Omutata anasema rais alikosa kufuata sheria kwa kumteua Ogeto kama mwanasheria wa serikali. Omutata anasema wadhifa huo unafaa kutangazwa wazi kwa umma. rais Uhuru Kenyatta alimteua Ogeto katika mabadiliko yaliyofuatia kujiuzulu mkuu wa sheria profesa Githu Muigai.

Show More

Related Articles