HabariMilele FmSwahili

Mahafala wa NYS kufuzu leo

Vijana elfu 11,196 na kinadada 4,265 wanatarajiwa kufuzu kutoka taasisi ya mafunzo ya shirika la NYS ilioko eneo la Gilgil. Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuongoza halfa hiyo. Mahafala hao miongoni mwao watu walemavu 21 wanatarajiwa kutumwa kufanya kazi katika shughuli mbalimbali ikiwemo miradi ya kuchimba mabwawa ya maji, kusafisha mitaa ya mabanda, kilimo miongoni mwa kazi zingine.

Show More

Related Articles