HabariMilele FmSwahili

Mawaziri 9 walioidhinishwa na bunge kuapishwa asubuhi hii

Mawaziri tisa walioidhinishwa na bunge wiki hii wataapishwa wakati wowote sasa. Hafla hiyo katika ikulu ya Nairobi inaongozwa na jaji mkuu David Maraga. Mawaziri hao ni Monica Juma wa mambo ya kigeni, Ukur Yattani wa leba Peter Munya wa jumuiya ya Afrika mashariki pamoja na John Munyes wa wizara ya madini. wengine ni Margeret Kobia wa wizara ya utumishi ya umma Keriako Tobiko wa mazingira, Simon Chelugui wa maji na Faridah Karoney wa ardhi na Rashid Achesa wa michezo.

Show More

Related Articles