HabariSwahili

Samuel Kimaru arejeshwa tena kama Kamanda wa Trafiki 

Jaji Mkuu David Maraga hii leo aliwaapisha Noor Gabow na Edward Mbugua kama  manaibu inpekta jenerali wa polisi wa polisi katika majengo ya mahakama ya upeo.
Saa chache baada ya kiapo hicho, Mbugua alitangaza mabadiliko katika idara ya polisi na kuwahamisha baadhi ya maafisa wakuu kutoka eneo moja hadi lingine,  huku kamanda wa trafiki wa zamani Samuel Kimaru akirejeshewa wadhifa huo.
Dan Kaburu na taarifa zaidi.

Show More

Related Articles