HabariMilele FmSwahili

Manaibu inspekta generali wa polisi walioteuliwa na rais wakula kiapo

Manaibu inspekta jenerali wa polisi walioteuliwa na rais wamekula kiapo asubuhi ya leo. Edward njoroge mbugua naibu inspekta jenrali wa polisi wa kawaida na noor yarao gabao naibu inspekta jenerali wa polisi wa utawala wamepishwa na jaji mkuu david maraga ambaye amewahimiza kutekeleza majukumu yao kikamilifu.

Show More

Related Articles