HabariPilipili FmPilipili FM News

Wamiliki Wa Magari Ya Uchukuzi Waonywa Mombasa.

Wamiliki na madareva wa magari ya uchukuzi wa umma  kaunti ya Mombasa na pwani kwa jumla wameonywa dhidi ya kuingiza magari yao barabarani bila ya kuwa na vibali itajika.

Mkurugenzi wa idara ya uthibiti wa filam kanda ya pwani Bonventure Kioko amewataka wenye magari kukata vibali vya kuwaruhusu kuweka redio na runinga kwenye magari ya uchukuzi wa umma.

Kioko ameongeza kusema kuwa oparesheni hiyo haitawaza hata wenye magari ya tax miongoni mwa magari mengine.

Show More

Related Articles