HabariMilele FmSwahili

Mahakama kuu yabatili agizo la serikali kumfurusha nchini Miguna Miguna

Sasa ni rasmi mwanasiasa Miguna Miguna yuko huru kurejea nchini. Ni baada ya mahakama kuu kubatili agizo la serikali kumfurusha nchini. Jaji Luka Kimaru anasema waziri wa usalama wa kitaifa Dr.Fred Matiang’ alikiuka sheria kwa kumsafirishwa Miguna hadi nchini Canada kwa kigezo sio raia wa Kenya. Ametoa makataa ya siku 7,Miguna kurejeshewa cheti chake cha usafiri

Show More

Related Articles