HabariMilele FmSwahili

Madaktari ambao ni wahadhiri waahirisha mgomo wao

Madaktari ambao ni wahadhiri wameahirisha mgomo wao. Katibu wa muungano wa madkari wa KMPDU Ouma Oluga anasema kwa sasa wanashiriki mashauriano na serikali. Hata hivyo anasema iwapo mkao huo hautazaa matunda huenda wakasitisha huduma zao baada ya majuma mawili. Wahadhiri hao wanadai marupurupu ya shilingi milioni 800.

Show More

Related Articles