HabariMilele FmSwahili

Rubani na mwanafunzi wake wasalia na majeraha baada ya ndege yao kuanguka

Rubani na mwanafunzi wake wamesalia na majereha baada ya ndege yao kuanguka katika uwanja wa Wilson Nairobi. Inadaiwa ndege hiyo ndogo na inayotumika kwa mafunzo ili kumbwa na hitilafu za kimitambo na kuanguka muda mfupi tuu baada ya kupaa angani.

Show More

Related Articles