HabariK24 TvSwahiliVideos

Wakenya wanaodhihirisha maana tofauti ya siku ya wapendanao

Mtazamaji kusema na kupenda si vigumu, ila kudhihirisha mapenzi ya kweli ni kitendawili.
Wanasema upendo wa dhati hujulikana, unapojipata kwenye matatizo au changamoto, na hapo ndipo unapotambua nani rafiki nani adui.
Basi hii kiwa ni siku ya wapendanao almaarufu Valentines Day, mwanahabari wetu Joab Mwaura, anatusimulia visa viwili vya wapenzi kwenye ndoa, ambao magonjwa yaliwakumba, na ajabu badala ya kuwatengenisha, wamekuwa wapenzi wa dhati.

Show More

Related Articles