HabariMilele FmSwahili

Gavana Waititu ataka gavana Ngilu kushtakiwa kufuatia kisa cha kuteketezwa lori la makaa

Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu anataka mwenzake wa kitui Charity Ngilu kushtakiwa kufuatia kisa cha kuteketezwa lori za kusafirisha makaa huko Kitui. Akizungumza baada ya kukutana na wafanyibiashara wa makaa, Waititu anasema hatua ya kushtakiwa kwa maafisa wawili wa kaunti haijawaridhisha. Ameahidi kuwasilisha lalama hizo mbele ya baraza la magavana. Usemi wake unajiri huko wenyeji wakishinikiza kuachiliwa kwa lori zilizonaswa huko kitui zikisafirisha makaa na zilizokuwa na kibali cha kutekeleza biashara hiyo.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.