HabariMilele FmSwahili

Charles Mwanzia ateuliwa kusimamia bodi ya kutoa leseni za kumiliki silaha

Jenerali mustaafu Charles Mwanzia ameteuliwa kusimamia bodi ya kutoa leseni za kumiliki silaha. Ni kufuatiua mabadiliko yaliyotekelezwa na waziri wa usalama dkt Fred Matiangi. Sasia anachukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa naye jenerali mustaafu Enock Sasia

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.