HabariMilele FmSwahili

Wakatoliki nchini wanaadhimisha Jumatano ya majivu

Wakatoliki nchini wanaadhimisha Jumatano ya majivu. Kiongozi wa kanisa Katoliki nchini mwadhama John Kadinali Njue anaongoza wakati huu misaa maalum ya maadhimisho hayo katika kanisa la Holy Family Bascilica hapa jijini. Ni maadhimisho yanayoashiria mwanzo wa kipindi cha siku 40 za sala tafakari na toba maarufu kama kwaresima. Katika kipindi hiki wakatoliki kote duniani pia wanahitajika kutokula nyama siku za Ijumaa.

Show More

Related Articles