HabariMilele FmSwahili

Moses Kuria awasilisha ombi kutaka kesi ya uchochezi dhidi yake kusikilizwa nje ya mahakama

Mbunge wa Gatundu kusini Moses Kuria amewasilisha ombi mahakamani kutaka kesi ya uchochezi dhidi yake iliyowasilishwa tume ya uuiano na maridhiano NCIC kusikilizwa nje ya mahakama. Hatua ya inajiri baada ya afisi ya mkurugenzi wa mashitaka ya umma kumruhusu Kuria kuafikiana na NCIC. Mahakama itatoa uamuzi tarehe 14 mwezio ujao.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.